Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Programu ya msingi ambayo inarahisisha kukata sauti ya mp3 kutumia built in player.
Leseni ya programu: Bila malipo
Programu ya bure na rahisi kuitumia itumikayo kuzuia virusi na programu zenye madhara kwenye kifaa chako kama vile kompyuta
Programu inayokuruhusu kucheza mafaili mengi ya media kwenye Windows 10
Ni programu ya bure inayokuwezesha kubadilisha mafaili mbalimbali kama vile ya video, muziki, na picha na kuyaweka kwenye muundo uupendao
Fanya mabadiliko ya faili zako kupitia USB na hifadhi zingine za nje bila kutumia kompyuta
Programu ya kukata na kuunganisha video inayomwezesha mtumiaji kukata faili kubwa la video na kuondoa vipande visivyohitajika kama vile matangazo ya biashara
Leseni ya programu: Bila malipo (matangazo)
Programu ya kubadilishia mafaili ya Pdf kwenda nyaraka za maneno za Microsoft bure
Leseni ya programu: Toleo la jaribio
Programu muhimu ya kukusaidia kukata faili kubwa za sauti katika vipande vidogo na kuondoa ukimya usiohitajika
Programu ya bure kwa kukatia na kuunganisha faili moja or mafaili mengi katika MP 3 moja
Tumia mfumo huu kukata video zako, kuongeza, kutoa na kubadilisha aina tofauti tofauti za mafaili